Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu kwa mwaka 2022 .

Matokeo hayo yametangazwa na Necta leo Julai 5, 2022.

==>>BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO