Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akitoa msaada wa vyakula ikiwemo Mchele, mafuta ya kupikia, Sukari, Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El-fitr kwa vikundi mbalimbali vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu Jijini Dodoma, katika Iftari Ikulu Chamwino.