Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Afya (Global Fund), Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20 – 25 Aprili, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.


Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
i. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 20 – 25 Aprili, 2022 kama inavyooneshwa kwenye tangazo hili, muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
ii. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask);
iii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
iv. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria;

 

==>>BOFYA HAPA Kutazama Majina Yote. 

_______

==>>Bofya hapa kwa matangazo mbalimbali ya kazi NGOs,Umoja wa Mataifa,Serikalini.