Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa katoliki Parokia ya  Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma leo tarehe 15 Aprili 2022.