Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango pamoja na Rais wa Zanzibar Mhe. Husein Ali Mwinyi  jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume Zanzibar kabla ya kuondoka kuelekea Nchini Ufaransa