Mzalendo property wanakuletea ofa ya Viwanja vilivyo pimwa maeneo ya KIBAHA - BOKOMNEMELA njia ya kuelekea hospital ya TUMBI.

- Bei ni kuanzia shilingi milioni tatu na nusu tu 3,500,000/=

- Ukubwa wa viwanja ni kuanzia Square meter 400 (20 kwa 20) na kuendelea.

- Viwanja vyote vimepimwa pia vina hati

- Ofisi zetu zipo MILLENNIUM TOWERS FIRST FLOOR
Tupigie: 0735093062