Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu, Januari 5, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI  Dkt. Samweli Swai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)