Ndizi ni kati ya matunda na vyakula vitamu sana vinavyopendwa katika jamii ya kiafrika. Mbali na utamu wake ni kwamba ndizi husaidia kuongeza nguvu za kiume.
Vitamini B na Bromelaini ambazo hupatika kwenye ndizi huchangia kuongezeka kwa homoni fulani ya kufanya mapenzi kwa wanaume.
Pia ulaji wa ndizi zinakupa nguvu zaidi inayomstahimilisha mtu anapofanya mapenzi na kumfanya amtosheleze mpenzi wake kimapenzi.
Ukweli ni kuwa ndizi uchangia kwa kiasi kikubwa kusafisha mishipa ya damu, kusaidia kupitisha damu na pia hupatia moyo nguvu zaidi.
Hivyo basi, ndizi hazisaidii tu kuongeza nguvu za kiume, bali pia huponya wanaume wasio na nguvu za kufanya mapenzi, yaani impotent.
Makosa sita ambayo wanaume hufanya kabla ya kufanya mapenzi! Pia, ndizi husaidia kupunguza mrundiko wa mawazo(Stress) ambao huwa ndiyo tatizo kuu la wanaume linalowafanya kutosimamisha mkuki.
Hivyo basi kwa njia hii ndizi yaweza boresha utamu wa mapenzi kitandani. Anza kula ndizi kwa wingi . Ukila aghalabu moja kwa siku itakufaa. Na kabla kwenda kukutana na mpenzio, kula ndizi moja au mbili kwa sababu pia harufu yake ni nzuri, mdomo hautanuka.