Tazama video mpya "Serious Love" toka kwa Harmonize CEO wa Konde Gang. Wimbo huu unapatikana kwenye album yake ya "High School" iliyotoka mwaka jana.