Breaking: NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne


Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi, Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya mtihaani wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021.pia Baraza hill limetangaza matokeo ya upimaji wa Kitaifa wa darasa la nne, Kidato cha Pili 2021