Taarifa Mpya Hii Leo Ni Kwamba Star Wa Filamu Nchini Marekani Arnold Shwarzenegger Amepata Ajali Ya Gari Katika Mji Wa Los Angeles Baada Ya Kugongana Na Gari Lingine.
Hata Hivyo Arnold Anaripotiwa Kutokuwa na Majeraha Kabisa Kutokana Na Picha Zinazomuonesha Akiwa Eneo la Tukio Lakini Dereva Katika Gari Nyingine Aina Ya Prius Aliyegongana Nae Yuko na Hali Mbaya Hospitali