Habari njema kwa watanzania nzima n asana sana wale watumiaji simu janja. Hii ni yao maana promotion hii iliyozinduliwa leo na kampuni za simu mkononi TECNO.
 

Meneja mauzo wa TECNO Ms. Mariam Mohammed amewaambia watanzania “Msimu huu wa sikukuu chochote unachotaka kuwapa zawadi ndugu, jamaa na marafiki zako msimu huu wa sikukuu, utakipata tecno, unachotakiwa kufanya nunua simu yoyote ya smartphone kutoka TECNO basi na sisi hatutawezi kukuacha hivi hivi”.


Pia akaongezea kuwa “mwisho wa mwezi huu ndio kutakuwa na droo ya kushinda zawadi kubwa ya friji, mashine ya kufuria, microwave na zawadi zengine mbalimbali”. Zawadi izi ya droo zinawalenga wale wateja wote watakao nunua simu za CAMON 18 Series na SPARK 8 Series.

Promotion hii itakuwa nchi nzima katika maduka ya TECNO yenye promotion ambapo zawadi zitatolewa papo hapo dukani kwa wateja watakao nunua simu za POP Series, SPARK Series na CAMON Series. 


Hii ni desturi ya kampuni ya TECNO kuwa na promotion kubwa kipindi iki cha mwisho wa mwaka ambapo ni mda mahususi kabisa wa kutoa shukrani kwa njia ya zawadi kwa marafiki, ndugu, jamaa na wana wamilia yako kiujumla.

Kufahamu zaidi juu ya promotion hii au kufahamu duka gani la kutembelea sahihi lenye promotion wapigie kwenye namba zao 0744545254 au 0678035208.