Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kigoma mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo desemba 14,2021 kwaajili ya ziara ya kikazi katika mkoa huo.