Kamishna Jenerall wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na ldara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo kufika katika Ofisi za Uhamiaji Kurasini Dar es salaam na Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar tarehe 13 Disemba,2021 saa 2:00 asubuhi, kwa ajili ya taratlbu za maandalizlya kwenda katika chuo cha mafunzo ya Uhamiajl kllichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga. 

==>>Kutazama Majina ya Walioitwa Kazini,  BOFYA HAPA