Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Novemba, 2021 akitokea Glasgow, nchini Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Novemba, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi Duniani.