Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anawatangazia wafuatao ambao waliwasilisha maombi ya nafasi ya kazi Makao Makuu Dodoma ya Cheo cha Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kufika kwenye Usaili utakao fanyika kalika Ukumbi wa Makao Makuu Dodoma siku za Jumatano,Alhamisi, ijumaa na Jumamosi tarehe 24 hadi 27 Novemba 2021, kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa kila kundi kama inavyoonesha hapo chini. Wasailiwa wote watajitegemea kwa malazi,chakula pamoja na usafiri

Kila mwombaji anatakiwa kufika na vyeti halisi vya taaluma, cheti cha kuzaliwa, cheti cha JKT,vyeti vya Ujuzi na Kitambulisho cha utaifa au Namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA)

==>>Kuona majina ya Walioitwa kwenye Usaili,BOFYA HAPA