Kuna mwanafalsafa fulani aliwahi kuandika katika maandiko yake akisema ya kwamba, maneno ya upendo yana nguvu sana katika mahusiano. Mtu unamwambia maneno mazuri na matamu katika mahusiano hujenga hisia mpya za kimapenzi.

Hivyo kila wakati unatakiwa kujifunza kumwambia maneno yafuatayo mpenzi wako ili kujenga hisia za kimapenzi :

1. Umenifanya niwe mtu bora

2. Umenifanya nijisikie Kupendwa

3. I love you so much.

4. Kila niwapo na wewe najisikia vizuri.

5. Sitasubiri kukuona tena.

6. Napenda kutumia muda mwingi na wewe.

7. Napenda niwe wako.

8. Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako.

9. Napenda uso wako.

10. Nashukuru kukuona

11. You’re so beautiful/handsome

12. Unanijali vizuri

13. Unanifundisha vitu vipya kila siku

14.I love how funny you are

15. Unanitaka niwe mwenza bora, naweza kuwa hivyo kwa ajili yako

16. Asante kwa kuwa nyuma yangu kila mara.

17. Napenda uwepo wako

18. You’re amazing

19. Wewe ni mtu wangu pekee katika sayari hii

20. Kuwa na wewe napata furaha