Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanaokabiliwa na mashtaka ya ugaidi inaendelea kusikilizwa leo Novemba Mosi, 2021 katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.

Katika muendeleozo wa kesi hiyo, leo shahidi wa nne wa upande wa mashtaka anatarajiwa kutoa ushahidi.