Tume ya Vyuo vikuu nchini ,TCU wamefungua dirisha la maombi ya kuhama chuo au kubali kozi.Mwisho wa maimbi ya uhamisho ni Novemba 14, 2021. 

Endapo unahitaji kuhama chuo ulichochaguliwa kwenda chuo kingine kutokana na sababu zako mbalimbali  unatakiwa kwenda kwenye chuo husika moja kwa moja unachotaka kuhamia na kuuliza kama kuna nafasi,wakikukubalia ,utapata .

==>>Kwa taarifa zaidi pamoja na masharti kadhaa yaliyotolewa na TCU, BOFYA HAPA