JINSI  YA  KUANDAA, KUTAYARISHA  NA  KUTUMIA  SUPU  YA  DHAKARI  NA  KORODANI  ZA  NG’OMBE  DUME  ALIYE  KOMAA  KATIKA  TIBA  YA  ASILI  DHIDI  YA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA / AMA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.

Tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.


Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, tatizo  la  upungufu  na/ ama  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  linasababishwa  na  mambo  mbalimbali.

Baadhi  ya  mambo  yanayo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ni  pamoja  na  haya  yafuatayo:

1.      TABIA  YA  KUJICHUA :  Kujichua  huathiri  nakuharibu  kabisa  misuli  ya  uume  jambo  ambalo huathiri  ufanisi  wa  misuli ya  uume.  Mbali  na  kuua  misuli  ya  uume , tabia  ya  kujichua  ama  kupiga  punyeto  huathiri  ukuaji  wa  maumbile  ya  kiume  ya  mhusika, huyafanya  yasinyae  na  kudumaa  kabisa  kiasi  cha  kufanya  yaonekane  kama  maumbile  ya  mtoto mdogo.

Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto.

 

SABABU YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI.

 

Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka.

 

KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa.

 

Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homoni hizi hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa kwenye ini.

 

Hali hii inapo tokea basi maumbile ya kiume ya mhusika husinyaa na kudumaa kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.

 

SABABU YA PILI: Upigaji wa punyeto huathiri utendaji wa ini. Na katika ini ndimo zinamo zalishwa homoni ziitwazo HGH ambazo hu husika na kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.


Kinacho fanya ini la mwanaume anae jihusisha na.punyeto lishindwe kuzalisha homoni za HGH ni mwili wa mhusika kukosa kiwango cha kutosha cha nishati kinacho hitajika katika uzalishaji wa homoni hizo. Nishati hii hupotea kwa wingi wakati wa tendo la upigaji punyeto.

 

Mwanaume anae piga punyeto hutumia nguvu, akili na nishati nyingi sana . Nishati hii ambayo inahitajika mwilini ili itumike katika kazi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa homoni za HGH kwenye ini inatumika kwenye tendo la upigaji punyeto na hivyo kupotea bure.

 

Kibaya zaidi ni kwamba waathirika wengi wa punyeto huanza kujihusisha na punyeto wakati wa balehe. Na ni katika kipindi hiki hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH huzalishwa kwa wingi na huhitajika kwa wingi mwilini katika kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.

 

Matokeo yake ini linashindwa kufanya kazi ya kuzalisha homoni hizo kwa sababu ya kukosa kiwango cha nishati kinacho hitajika ili kuweza kuzalishwa kwa homoni hizo.

 

Kukosekana kwa homoni hizo hupelekea maumbile ya kiume ya mhusika kushindwa kuongezeka ambako huenda sambamba na kusinyaa, kulegea na kunywea ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto.

 

2.      TATIZO  LA  KISUKARI :   Tatizo  la  kuwa  na  sukari nyingi  kwenye  damu  ni  chanzo  kingine  kikuu  cha  tatizo  la  upungufu  na/ ama  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.  Tatizo   la sukari  pamoja  na  mambo  mengine,  huathiri  utendaji  kazi wa   mishipa  inayo tumika  kusafirisha  damu  mwilini.  Vile  vile  tatizo  la  sukari  huathiri  pia  utendaji kazi wa  mishipa  ya  fahamu  iliyopo  kwenye  ubongo.   


 Mishipa  itumikayo  kusafirisha  damu  mwilini  pamoja na  mishipa  ya  fahamu  katika  ubungo  ni  viungo  muhimu  sana  katika  suala  la  kuupa   uume  nguvu na   uwezo  wa  kusimama, kwa  sababu  ili   uume  wa  mwanaume  uweze  kusimama    ni  lazima kwanza  mwanaume huyo apate  wazo  la kufanya  tendo  la  ndoa,  wazo  hilo  hunaswa  kwenye  mishipa  ya  fahamu  katika  ubongo, mishipa  ya  fahamu  katika ubongo  hutoa  ishara  kwenye  mishipa  ya    fahamu  katika uti  wa  mgongo  na  mishipa  ya  uti  wa  mgongo  ikisha  pata  ishara  hiyo  hupeleka taarifa  kwenye  mishipa ya  ateri ambayo  nayo  hufunguka na  kutanuka , mishipa  hiyo  ya  ateri  ikisha  funguka  na  kutanuka,  huruhusu  kusafirishwa  kwa  damu  kwenye  mishipa  ya  damu  kuelekea  kwenye  misuli  ya  uume na  hivyo  kuufanya  uume  kusimama. 

 

 Jambo  hili  haliwezekani  kwa  mtu  mwenye  tatizo  la  sukari  kwa  sababu  ya  kuwa  na  udhaifu  katika  mishipa  ya  damu  halikadhalika  mishipa ya  fahamu  katika  ubongo. 

 

Udhaifu huu  huathiri  mawasiliano  kati  ya  mishipa  ya  fahamu  katika  ubongo, mishipa  ya  fahamu  katika  uti wa  mgongo, mishipa  ya  ateri   na  misuli ya  uume.

 

 Vile  vile  udhaifu  huu  huathiri  suala  zima  la  kutirika  kwa damu  kwenye  mishipa  ya  kusafirishia  damu jambo  ambalo  ni  muhimu  sana  kufanyika  ili  mwanaume  aweze  kuwa  na  uhakika  wa  maumbile  yake  kusimama  pale  atakapo  hitajika  kufanya  hivyo.

 

Mbali  na  sababu  hizo  nilizo  zitaja  hapo, tatizo  la sukari  huweza  pia   kusababisha ama  kupelekea    tatizo  la presha  ambalo  nalo  pia  ni  chanzo  kingine  kikubwa  cha  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  kwa  sababu  kama  ilivyo  kwa  tatizo  la  kisukari, tatizo  la  presha  huathiri  pia  utendaji  kazi  wa  mishipa  itumikayo  kusafirisha  damu  mwilini  na  suala  zima  la  mtiririko  wa  damu  jambo  ambalo  ni  muhimu  sana katika  uimara  wa  nguvu  za  kiume.

 

Tatizo  la  presha  lisipo  dhibitiwa mapema   huweza  kusababisha  pia  magonjwa   katika  moyo  na figo  mambo  ambayo ni  hatari  kwa  afya  ya  mtu  kwa  ujumla  wake.


3.KUWA  NA  LEHEMU/KOLESTROL  MAFUTA  MENGI  MABAYA  MWILINI :  Kuwa  na  kiasi  kikubwa  cha  mafuta  yasiyo  hiutajika  kwenye  damu  ni  moja  kati  ya  chanzo  kingine  kikubwa  cha  tatizo  la  ukosefu na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.   Kiasi  kikubwa  cha  mafuta  yasiyo  hitajika   kwenye  damu  kinaweza kugeuka  na  kuwa  sumu, sumu  inayo  weza kusababisha  magonjwa  na  matatizo  mengine  makubwa  mwilini,  magonjwa  kama  vile  shinikizo  kuu  la  damu ( presha )  na  magonjwa  katika  moyo  kwa  kutaja  machache.

 

Kiwango  cha  mafuta  mengi  yasiyo  faa  kwenye  mishipa  ya  damu   huathiri  mishipa  ya  damu .  Huathiri  suala  zima  la  usafirishaji  wa  damu   kwenye mishipa ya  damu    kwa  sababu  hayo  mafuta  huzuia  damu  kusafiri  katika  mtiririko  wake  wa  asili  na  hivyo  kuathiri  kabisa  afya  ya  nguvu  za  kiume.

 

Sababu  nyinginezo  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  wa  kiume  ni  pamoja  na  kuugua  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  kama  vile ngiri , chango  la  kiume nakadhalika.  Hizo  ni  baadhi  ya  sababu  ambazo ni   vyanzo vya  tatizo  la ukosefu  na /ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

 

Nikipata  nafasi  wakati  mwingine nitazielezea  na  sababu  nyingine  pamoja  na  kuzichambua  kwa  kina  sababu  nilizo  zitaja  hapo  juu  pamoja  na  zile  nilizo  zigusia  kwa  ufupi

 

SULUHISHO  NI  NINI ?

 

Mwanaume  mwenye  tatizo  la  ukosefu  na / ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  anatakiwa  apate  tiba  sahihi  ya  tatizo  lake.  Tiba  inayo  tibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.

 

Zipo  tiba  mbalimbali  zinazo   weza  kutibu  na kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na  ama  upungufu  wa nguvu  za  kiume.

 

Miongoni  kati  ya  tiba  hizo  ni  pamoja  na  hii  hapa  ambayo  nina  ielezea  kwenye  makala  haya.

 

MAHITAJI

1.      Dhakari  za  n’gombe    alie  komaa .  Ujazo  wake  uwe  kilo  moja.

2.      Korodani za  n’gombe   aliekomaa  (  Iwe  pea  moja  kwa  maana ya  kokwa  mbili  za kordoani  )

3.      Papai  bichi

4.      Dawa  asili  ya  jiko

 

MAANDALIZI :

1.      Maandalizi  ya  dhakari  za  ng’ombe :

·         Chemsha  maji  ya  moto  kiasi  cha  lita  tatu  kwenye  sufuria  hadi  maji  yako  yachemke  kabisa.  Maji  yakisha  chemka  ipua  kwenye  jiko  kisha  baada  ya  hapo  chukua  dhakari  hizo  za  ng’ombe  na  uzitose  kwenye  maji  hayo na  kufunika.  Utaziacha  kwa  muda  wa  dakika  thelathini.  Lengo  ni  kuziosha  kwa  kutumia  maji  hayo  ya  moto ili kuua  bacteria.


·        Baada  ya  hapo  zitoe  dhakari  hizo  kwenye  sufuria  ziweke  pembeni  kwenye  sahani,  maji hayo  yamwage  na  lioshe  sufuria   hilo   kisha  chukua  dhakari  hizo  zitie  tena  ndani  ya  sufuria  hilo, ongeza  maji   fresh  yajae  kiasi  cha  kuzifunika  kabisa  hizo  dhakari  kisha  tenga  kwenye  jiko  lenye  moto  mkali .

·        Utaacha  vichemke  kwa  nusu  saa  hadi  dakika  arobaini  kisha  utaipua  halafu  utachukua  hizo  dhakari  na  kuzikata  kata  vipande  vidogo vidogo kiasi  unacho  weza  kuhandle  wakati  wa  kula,  baada  ya  hapo  utavirudisha  tena  vipande  hivyo  kwenye  yale  maji  uliyo  tumia  kuchemsha  dhakari  hizo.  Safari  hii  hauta  ya  mwaga  hayo  maji.


·        Ukisha  maliza  zoezi  hili  utachukua  papai  bichi  limenye  kisha  saga  kwenye  blenda   au  kama  hauna  blenda  tumia  kile  kifaa  kinacho  tumika  kukwangulia  karoti  halafu  tia  ndani  ya  hilo  sufuria  ili  vichemke  pamoja.  Lengo  la  kuweka  papai  bichi  ni  kulainisha  nyama  ya  hizo  dhakari  kwa  sababu  nyama  yake  huwa  ngumu  sana  na  usipo  tumia  papai  bichi  nyama  hiyo  itakushinda  kutafuna.

 

·        Sasa utaacha  vichemke kwa  dakika  arobaini hadi  lisaa  limoja, hapo  sasa  supu  yako  itakuwa  tayari  kwa  kula. 

 

2.       MAANDALIZI  YA  KORODANI  ZA  NG’OMBE


Chukua  korodani  hizo  za  ng’ombe  zitoe  kwenye  ganda  lake  ubaki  na  nyama  ya  ndani  kisha  zichemshe  kwenye  mtoto  mkali  kwa muda  wa dakika  thelathini  hadi  arobaini.  Baada  ya  hapo  ipua   zikate  kate  vipande  vidogo  vidogo  kisha  weka  kwenye  bakuli  kwa  ajili  ya  kula.

 

JINSI   YA  KUTUMIA    KWA  KULA

Kula  hizo  korodani  zilizo  tayari  pamoja  na  hizo  dhakari  zilizo  tayari  mpaka  ziishe  zote. Ukishamaliza  zoezi  la  kula  hizo  korodani  pamoja  na  hizo  dhakari, utachukua  vijiko  vidogo  viwili vya   dawa asilia  ya  jiko  kisha  utatia  kwenye  kikombe  chenye  maji  ya  moto chenye  ujazo  wa  milimita   mia mbili hamsini ( 250mills)   kisha  utakunywa  dawa  yako.

 

Zoezi  hili  utalifanya  asubuhi.  Jioni  utaendelea   kutumia dawa  ya jiko  peke  yake  kama ulivyo  itumia  asubuhi. Utaendelea  na  dozi  yako  ya  dawa  ya  jiko  kwa  muda  wa  siku  thelathini. Baada  ya  siku  hizo  thelathini  utakuwa  umepona  kabisa  tatizo  lako  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume (  N.B :    ZOEZI  LA  KUTUMUIA   SUPU  YA  DHAKARI  NA  KORODANI  ZA  NG’OMBE  UTALIFANYA MARA  MOJA  TU  NA  HUTO  LIRUDIA TENA )

 

NJIA  MBADALA  KWA  ASIE  WEZA  KUPATA   DHAKARI  NA  KORODANI  ZA  NG’OMBE  KWA  URAHISI.

 

Kama  kwako  itakuwa  vigumu  kuzipata  hizo  korodani  na  dhakari za  ng’ombe  pamoja  na  kuzianda  na  kuzitayarisha  unaweza  kutumia  UJI DUME  kama  mbadala  wa  supu  ya  korodani  na  dhakari  za  ng’ombe.  UJI DUME  unafanya  kazi  kwa  ufanisi ule  ule   sawa  na  wa  mtu  alie  tumia supu  ya korodani  na dhakari  za  ng’ombe.  Huu  uji  dume  unatumika  pamoja  na dawa  ya  jiko.   Uji  dume  unatumika  kwa  muda wa  siku  thelathini  pamoja  na  dawa  ya  jiko.

 

JINSI  YA  KUTUMIA  UJI  DUME  NA DAWA YA JIKO.


Koroga  uji  dume  kikombe  kimoja  kisha  kunywa.  Kaa  dakika tano  hadi  kumi  kisha  chukua  vijiko  vidogo  viwili  vya   dawa  ya  jiko  uvitie  kwenye  kikombe  cha  maji  ya  moto  koroga  kisha  kunywa.  Zoezi  hili  utalifanya  mara  mbili  kwa  siku  asubuhi  na  usiku  kwa  muda  wa  siku  thelathini.   Unaweza  kupika  vikombe  viwili  vya  uji  dume  kisha  kavigawanya  mara  mbili  kimoja  ukakitumia asubuhi  na  kingine  ukakitumia   usiku.

 

Makala  haya  yameandaliwa  na  kutayarishwa  na  DUKA  LA  NEEMA HERBALIST, wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za mimea.  Tunapatikana  UBUNGO  Jijini  DAR  ES  SALAAM  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA   jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.

 

Kwa  wateja  wetu  waliopo  jijini  DAR ES  SALAAM  ambao  hawana  nafasi  ya  kuja  ofisini  tunatoa  huduma  ya  kuwapelekea dawa mahali  popote  walipo  ndani  ya  jiji  la  Dar  Es  Salaam ( HOME & OFFICE  DELIVERY)  na  kwa  wateja  wetu  waliopo  nje  ya  mkoa  wa  Dar  Es  Salaam  tunawatumia  dawa   kwa njia  ya  usafiri  wa  mabasi mbalimbali  na  kwa  wateja  wetu  waliopo  Zanzibar  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  boti.

 

Kwa  wateja  wetu  waliopo  NAIROBI  na MOMBASA  tunawatumia dawa  kwa njia  ya  mabasi .

 

WASILIANA NASI  KUPITIA  SIMU  NAMBA  0766  53  83  84 

 

Na  kwa taarifa  zaidi  kuhusu  huduma  zetu,  tutembelee  kila  siku  kupitia  blogu  yetu:

                       www.neemaherbalist.blogspot.com