Utajiri wa Mwanzilishi na C.E.O wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao.
Kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B kwa mujibu wa Forbes.