Jeshi la Polisi linapenda kuwatangazia kuwa usaili wa vijana wenye fani maalum ambao walioomba kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Mtandao (online) usaili wao utafanyika tarehe 30/10/2021 saa 2.00 asubuhi Makao Makuu ya Polisi Dodoma. 

Orodha ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili Makao Makuu ya Polisi Dodoma imeambatanishwa pamoja na tangazo hili.
 

Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi

==>>Bofya Hapa Kupakua Majina ya  waliochaguliwa kufanya usaili Makao Makuu ya Polisi Dodoma