Kampuni ya Faceebok imesema kilichosababisha tatizo la kimtandao lililopeleka baadhi ya Watumiaji wa Instagram,WhatsApp na Faceebok kushindwa kufanya chochote kwenye Account zao ni kufeli kwa mabadiliko ya mfumo.
Wafanyakazi wa Faceebok wanasema tatizo ni la ndani na sio udukuzi kutoka nje ya Kampuni.