NAFASI ZA KAZI ZA UDEREVA WA MALORI
Kampunl ya usafirishaji ya Simba Supply Chain Solutions Limited (SSCS Ltd) inawatangazia nafasl 50 za ajira kwa madereva wa malori.
MAJUKUMU YA KAZI:
l. Kuendesga gari ya mzigo ya kampuni na kufikisha mzigo wa mteja aliyekusudiwa kwa wakati katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi.
2. Kusimamia na kuratibu upakiaji na ushushaji wa mzigo kwa kuzingatla viwango vya usalama.
3. Udhibiti wa hall ya usalama na kiufundi ya gari,kuhakikl garl kabla na baada ya safari, kutoa taarifa ya hitilafu ama ajali kwa utaratibu uliowekwa na Kampuni.
4. Kufuata mpango wa safari ulioandaiwa na Kampuni chlni ya ldara ya Uendeshaji na kuzingatla mambo muhimu kama (uzito,barabara,maeneo ya maegesho pamoja na vipindi vya mapumzlko uwapo safarini
5. Kuzingatla sheria, kanuni na taratlbu za Kampuni katika uendeshajl na kufuata sheria za nchi husika katika uendeshaji
👉Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
👉Kupata nafasi mbalimbali za kazi Serikalini na mashirika binafsi <<BOFYA HAPA>>