Serikali Imetangaza Nafasi Mpya za kazi kupitia shirika la Umeme (TANESCO), NHC,, OSHA na wizara ya Ardhi kama ifuatavyo;

NHC

1.Quantity Surveyor II (Building Economics) 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Bachelor Degree in any of the following: Quantity Survey, Building Economics, Construction Management, Building Survey or an equivalent qualification from a recognized institution. Must be registered with AQRB as a Professional Quantity Surveyor.

2.Engineer II-civil

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Bachelor Degree or Advanced Diploma in Civil Engineering from a recognized institution. Must be registered with Engineers Registration Board (ERB) as a Graduate Engineer.

3.Artisan II  Electrical

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Holder of Secondary Education Certificate with a Trade Test Grade I or NVA Level III in Electrical or equivalent qualification.

4.Katibu Mahsusi Daraja La III-  Office Of The Solicitor General  ( Nafasi 15)

QUALIFICATION AND EXPERIENCE   
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft office, Internet, E-mail na Publisher

5. Nafasi 19 za Kazi OSHA.

6. Personal Secretary-TANESCO- Nafasi 5

7.  Fundi Sanifu Daraja La  II- Wizara ya Ardhi....Nafasi 10

 

👉Kujua zaidi  pamoja na kutuma maombi,BOFYA HAPA.