TAARIFA YA MAOMBI:  Mo Dewji Foundation  wanakaribisha wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza kuomba Udhamini wa Programu ya Mo ambao unalipia gharama za Chuo, gharama za awali za kujiandikisha, malazi na chakula. 

Kwa maelezo zaidi juu ya uombaji bonyeza link (kiunganishi) hapo chini.

👉==>>Bofya Hapa Kujua zaidi namna ya Kutuma Maombi ya Kupata Ufadhili wa Masomo.