Viwanja: Bunju Mwisho / Mapinga

Nauza viwanja Bei nafuu sana, sh 12,000 tu kwa sqm moja, hapa vipo viwanja kuanzia million 6 mpaka million 14.
Viwanja vipo Mapinga (Kimele), km 5 kutoka Bunju B na km 4 tu kutoka main road (Bagamoyo Road).

Viwanja viko juu (sio bondeni) na vimepimwa.
Huduma za maji na umeme zipo.

Hakuna dalali/udalali.
Nipgie, Mhusika: 0758603077 au whatsap:0757100236