CMG pamoja na Ziiki Media wameiandaa video ya wimbo mpya "Size Yao" toka kwa Darassa akiwa amemshirikisha Dogo Janja. 

Wimbo huu unapatikana ndani ya album ya Darassa iliyotoka mwaka jana "Slave became A King".