Mwimbaji kutokea Bongo Flevani, Jux ambae ni EX wa Vanessa Mdee amejitokeza na hili ambalo limehesabika kama ni ujumbe kwa Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi.

Sikiliza Ujumbe wa Jux kupitia wimbo wake mpya "Sina Neno"