Aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Mbunge wa jimbo la Ngorongoro Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia Jijini Dodoma.
Rais Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Spika Mhe. Job Ndugai, Wabunge, Familia na Wananchi wa Ngorongoro.
Rais Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi na kutoa pole kwa Spika Mhe. Job Ndugai, Wabunge, Familia na Wananchi wa Ngorongoro.
Nasikitika kuwajulisha kuwa aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji Mhe. William Tate Ole Nasha amefariki dunia Jijini Dodoma. Natoa pole kwa Spika Mhe. Job Ndugai, Wabunge, Familia na Wananchi wa Ngorongoro. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina. pic.twitter.com/UzDyW2E6fS
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia) September 27, 2021