Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anatangaza nafasiza ajira kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na walioko kambini wenye sifa zifuatazo:-

1.    Wenye elimu ya kidato cha Nne (Nafasi 180)
(i)    Waliohitimu kidato cha nne kuanzia mwaka 2015 hadi 2020.
(ii)    Wenye astashahada, Trade-Test Grade I,    FTC  na  ujuzi katika fani zifuatazo watapewa kipaumbele:-
a.    Udereva Daraja E
b.    Ufundi Magari
c.    Ushonaji
d.    Ufundi bomba
e.    Ufundi ujenzi
f.    Ufundi Umeme
g.    Uogeleaji /Uzamiaji
h.    Sayansi  ya  moto  kutoka  chuo  cha  Zimamoto  na  Uokoaji au chuo kingine kinachotambuliwa  na serikali.
i.    ClinicalAssistants
 

(iii)    Umri kuanzia miaka 18 hadi 23

==>>Kujua Zaidi pamoja na Kutuma Maombi,BOFA HAPA 

Mwisho wa Maombi: 13.10.2021


==>>Kujua Zaidi pamoja na Kutuma Maombi,BOFA HAPA 
Mwisho wa Maombi: 13.10.2021