Sikiliza wimbo mpya "Away" toka kwa Maua Sama akiwa na Rapa Young Lunya. Wimbo huu umetoka baada ya siku ya jana picha zao kusambaa mitandaoni wakiwa barabarani wamevalia mashuka.