Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo  Sept,10,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.