Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma, ikiwa ni kuitikia wito wa Spika uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.