FAHAMU KUHUSU PROMOSHENI YA KALI KULIKO.
Nunua Simu Za Infinix Ushinde TV inch 55, PS5, Laptop Na Mashine Ya Kufulia.
 
Kila kampuni ina njia zake au naweza sema ina mbinu zake za kuwafikia wateja na njia moja wapo ya kufikia wateja wake ni kupitia promosheni lakini pia ifahamike si kila promosheni inalengo moja tu la kuongeza mauzo ya kampuni husika hapana si sahihi Infinix kupitia promosheni ya Infinix KALI KULIKO imelenga zaidi kuleta ukaribu baina ya kampuni ya simu Infinix na wateja wake. 


Kampuni ya simu Infinix kila mwaka huchagua mwezi mmoja na kuufanya mwezi wa familia ya Infinix na ndani ya mwezi huo ambapo kwa mwaka huu ni Mwezi wa 8 Infinix kufanya punguzo kubwa la bei kwa simu za Infinix na kutoa zawadi zenye thamani kubwa kwa kila mteja wa simu hizo. 


Promosheni ya KALI KULIKO haitaishia tu kwenye punguzo la bei na zawadi za TV inch 55, Laptop na game ya PS5 na mashine ya kufulia kwa simu kama Infinix NOTE 10, Infinix HOT 10i, HOT 10t na HOT 10 play kila mwisho wa wiki lakini pia katika ya wiki Infinix zawadi kama movie ticket, shopping voucher zitatolewa kwa wateja ishirini wa kwanza kununua Infinix, NOTE 10, Hot 10t, Hot 10i na HOT 10play. Zawadi nyengine ni rice cooker, microwaves, toaster hizi zinatoka kwa kuzungusha gurudumu la Bahati nasibu. Je ni kiasi gani Infinix wanatoa kama punguzo hii inategemea na uwezo wa mkono wako kuchota kiasi cha pesa kwenye mfuko utakaokuwa na pesa za sarafu.


Promosheni hii ya KALI KULIKO itaambatana na michezo mbalimbali kama danadana mchezo huu wa danadana pia unakupa nafasi zaidi ya kuibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni hii kwahiyo ni vizuri mteja na yeye kupiga danadana na kupost kwenye page yake ya Instagram vivo hivyo kwa wadau wa online danadana challenge inazawadi hizi kwajili yenu piga danadana nyingi uondoke na NOTE 10 jaribu kufollow @infinixmobiletz #Kalikuliko na ushiriki sasa na zawadi nyengine kama wireless earphone, Wiestbag zitatolewa pia kwa washindi wengine https://www.instagram.com/p/CSG354VjRFc/ 


Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro, HOT 10t, HOT 10i na HOT 10 play ni miongoni mwa simu kali za mwaka huu wa 2021. Toleo la Infinix HOT ni toleo lenye simu za bei rafiki unachokipata kwenye simu hizi za Infinix HOT ni zaidi ya kiasi unacholipia. Infinix HOT ni simu zenye uwezo mkubwa wa kudumu na chaji kwa muda mrefu simu hizi zinakuja na battery ya mAh6000 lakini pia ni simu zenye uwezo wakupiga picha wakati wowote hata kwenye kiza kinene na kwenye jua kali.


Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro ni simu iliyowekeza zaidi kwenye processor ili kumrahisishia mfanyakazi wa ofisini, mwanafunzi wa chuo na mpiga picha kufanya kazi zake kwa uharaka katika mazingira yoyote pasipo kuhitaji kompyuta. 


Infinix NOTE 10 pro mbali ya kuwa na processor yenye kasi zaidi Helio G95 na kamera kali yenye MP64 na teknolojia ya 4K video resolution lakini pia ni moja ya simu yenye design nzuri kwaka huu wa 2021 baada ya kutwaa tunzo ya If DESIGN AWARDS 2021.

Pamoja na zawadi zote hizo Infinix itakupatia ofa ya GB78 za internet kutoka Tigo.


Promosheni hii ni kwa nchi nzima tembelea sasa maduka yote ya Infinix na Tigo uliza kuhusu promosheni ya kali kuliko na utajuzwa kwa maelezo zaidi tafadhali piga 0717356468. https://www.infinixmobility.com