Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amepata chanjo ya UVIKO-19, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi ili ianze kutumiwa na Watanzania katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona wimbi la Tatu.

Rais amechanjwa Ikulu jijini Dar es Salaam.