Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kusini Unguja, Ramadhan Abdalla Ali amefariki dunia nyumbai kwake visiwani Zanzibar.