Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro Rico.