Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wahudumu wa Shirika la Ndege la ATCL mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo Juni 20, 2021.