Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Balozi Batilda Salha Buriani Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 21 Juni, 2021