Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia na kuyashika maji mara baada ya kuzindua mradi huo wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungulia maji kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.