Kupitia mtandao wa jarida la Forbes wamemtangaza mwana Mama huyo anaefahamika kwa jina la Melinda kuwa ni Bilionea Mpya anaeshika nafasi ya 5 kwenye orodha ya Matajiri Duniani baada ya kuhamishiwa fedha kwenye akaunti yake kutoka kwenye kampuni ya Bill Gates kama mnufaika wa hisa za uwekezaji wa kampuni zake. 

Forbes wanasema Melinda kwasasa ana Tajiri wa bilion 1.8 za kimarekani hii imekuja baada ya kuwa mnufaikaji wa hisa za uwezekaji wa kampuni ya Bill Gates.

Kwa mujibu wa Forbes wanasema utajiri wa Bill Gates umeshuka toka ($130.4 Bilion) hadi ($128.6 Bilion) baada ya Melinda kuhamishiwa fedha hizo lakini bado inamuweka Bill akiwa kwenye nafasi ya 4 ya orodha ya Matajiri wa Duniani huku Melinda akiwa katika nafasi ya 5 ya orodha hiyo ya Matajiri Duniani.