Zoezi hilo la kutembelea Mkoa kila Mkoa limeanza rasmi jijini Dar es Salaam na wadau wengi wa simu za Mkononi wameonekana kufurahishwa na mbinu waliyoitumia TECNO kuwafikia wateja wake.
Alisikika mdau mmoja akisema, “TECNO wamenipa hamasa ya kununua simu hii ni simu nzuri na camera ndio usiseme sitaki kuikosa TECNO Camon 17pro tena kwa kipindi cha sikukuu thubutu lazima nijipatie yangu mapema sana”
Hakika tuwapongeze TECNO ni jambo jema sana kutufikia wateja wao mana sio wote tunapata muda wa kwenda madukani lakini kinachofurahisha zaidi ni jinsi hii simu ilivyonyepesi nashukuru nmepata uzoefu mzuri wa kuifahamu kitaaluma zaidi mana huwa tunasikia processor ila mtu haufahamu ni nini ila leo ndio nmepata kujua umuhimu wa processor, memory na mengineyo, alimaliza.
TECNO Camon 17pro ina GB128+8Ram lakini pia ina G90 processor kwa pamoja vinaifanya TECNO CAMON 17pro kuwa simu yenye uwezo wakuhifadhi na kufungua applications au files zenye ujazo mkubwa pasipo kupata joto.
TECNO inawataka wapenzi wa simu za mkononi kukaa tayari kupata elimu kuhusu kila sifa ya TECNO Camon 17pro. TECNO imejipanga kulifanya hili kwa kutembelea Mikoa zaidi ya mitano nchini Tanzania lakini pia Afisa Mahusiano TECNO, Bwana William Motta ametutakia watanzania wote kheri ya maandalizi ya sikuku ya eid lakini pia ametutaka watanzania wote kutembelea maduka ya simu TECNO kwani kuna zawadi nyingi sana kwajili yetu.
Road show kuenda kupita zaidi ya Mikoa mitano na zawadi nyingi zitatolewa kwa watu wote watakaopata nafasi ya kufika eneo la tukio hivyo basi wa kazi wa Mkoa wa Arusha, Mwanza, Dodoma na Mbeya kaeni tayari kumpokea mkali wa selfie. https://bit.ly/3bmZRCb