Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Kenya siku ya Jumanne.

Rais Samia atakuwa katika ziara nchini humo kwa siku mbili ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
.