Infinix NOTE 10 na NOTE 10pro kuzinduliwa 4/6/2021 na moja kati ya ofa ni punguzo la bei kwa  wateja wa awali, Pre order sasa....


Naomba ufahamu hili kuhusu kampuni ya simu za mkononi Infinix. Wakisema ni muendelezo wa toleo la Infinix NOTE basi wanamaanisha maana kila kitu ni kipya,nasema Infinix NOTE 10 na NOTE 10pro ni balaa jipya mjini. Nilipata nafasi yakutembelea tovuti https://www.gsmarena.com/infinix_note_10_pro_live_images-news-48929.php mbalimbali zenye kuandika kuhusu simu mpya zitakazoingia sokoni hivi karibuni na Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro ni moja kati ya simu yenye kupewa sifa nyingi kutokana na mapinduzi mengi yaliyofanyika kwenye simu hiyo kuanzia nyuma kuwa na kamera 4 ambapo kamera kuu ni MP 64 na selfie ya MP48 teknolojia iliyotumiaka kwenye camera hizi kuzifanya NOTE 10 na NOTE 10pro kuweza kuchukua picha nyakati zote iwe katika hali ya mtikisiko, jua kali, kiza, mawimbi n.k.


Naendelea simu ya mwisho kutoka kwenye toleo la NOTE ni Infinix NOTE 8 ikiwa na gaming processor ya G80, sasa bwana NOTE 10 pro ni G95 nadhani mmeanza kunielewa nikisema kila kitu ni kipya. Infinix NOTE 10 pro kuja na speed na wepesi wa kuendesha(operate) application kwenye simu mara mbili zaidi ya NOTE 8.


Infinix NOTE 10 na NOTE 10pro kuja na ukubwa wa memory ya ndani ya GB128 na Ram ya GB8. Mtumiaji wa Infinix NOTE 10 hatohitaji memory ya ziada kutokana na nafasi kubwa ya kuhifadhi kumbukumbu iliyopo kwenye Infinix NOTE 10. hifadhi files nyingi pasipo simu yako kuzidiwa uzito.
Vile vile teknolojia ya 90Hz inayopatikana kwenye kioo cha Infinix NOTE 10 inasaidia kila baada ya matumizi kioo cha Infinix NOTE 10 kujirefreshi na kupelekea simu kurespond kwa haraka pale tu unapotaka kuperuzi au kufungua application yoyote.


Infinix NOTE 10 kuja na mAh 5000 za battery haina haja yakuzima data ili kuepuka kuishiwa chaji ujazo wa mAh 5000 na kasi ya processor ya G95 inafanya matumizi ya battery kuwa madogo niwakati wetu sasa kuifanya NOTE 10 kuwa na matumizi ya ziada kama ya kiofice, kibiashara na si iwe kwa kupiga tu na kuperuzi mitandaoni.


Nimetaka uifahamu kwanza simu kabla sijaongelea kichwa cha habari hapo mana nadhani usingenielewa kwanini niweke pesa yangu kwa kitu nisichofahamu ubora wake basi baada ya kukupa wasifu wa simu hiyo ni maamuzi yako sasa kufanya pre-order kwa kutanguliza kiasi cha sh.50,000 ambapo tarehe 7/6/2021 utamalizia Tsh.400,000 kwa NOTE 10 na Tsh.550,000 kwa NOTE 10 pro wahi sasa kuepuka kuja kuinunua kwa bei ya juu baada ya uzinduzi 4/6/2021.


Pre-order inafanyika katika maduka ya simu ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Kariakoo, vilevile unaweza kutembelea https://www.infinixmobility.com/, @infinixmobiletz au piga nambari ya simu 0744606222 kwa maelezo zaidi.