Tuzo za BET Awards 2021 zimetangazwa Rasmi, huku Majina ya Mastaa Kibao yakiingia kwenye List za Vipengele Tofauti ambavyo kila mmoja ametajwa Kushindania

Tuzo hizo ambazo zitatolewa June 27 Mwaka huu, Zitafanyika katika Ukumbi wa Microsoft Theater huko Los Angeles Marekani 🇺🇸


Mastaa Kibao wametajwa kuwania Tuzo hizi Kubwa na Maarufu zaidi, Ila Rapa Da Baby pamoja na Megan The Stallon wametajwa Katika Vipengele Vingi zaidi, wote wakitajwa kwenye Vipengele 7

LIST HIYO NI PAMOJA NA 👇🏽


ALBUM OF THE YEAR
After Hours - The Weeknd
Blame It on Baby - DaBaby
Good News - Megan Thee Stallion
Heaux Tales - Jazmine Sullivan
King’s Disease - Nas
Ungodly Hour - Chloe X Halle

BEST FEMALE R&B / POP ARTIST
Beyoncé
H.E.R.
Jazmine Sullivan
Jhené Aiko
Summer Walker
SZA

BEST MALE R&B / POP ARTIST
6lack
Anderson .Paak
Chris Brown
Giveon
Tank
The Weeknd

BEST FEMALE HIP HOP ARTIST
Cardi B
Coi Leray
Doja Cat
Megan Thee Stallion
Latto
Saweetie

BEST MALE HIP HOP ARTIST
DaBaby
Drake
J. Cole
Jack Harlow
Lil Baby
Pop Smoke

BEST GROUP
21 Savage & Metro Boomin
Chloe X Halle
Chris Brown & Young Thug
City Girls
Migos
Silk Sonic

VIDEO OF THE YEAR
Cardi B – “Up”
Cardi B featuring Megan Thee Stallion – “WAP”
Chloe X Halle – “Do It”
Chris Brown & Young Thug – “Go Crazy”
Drake featuring Lil Durk – “Laugh Now Cry Later”
Silk Sonic – “Leave the Door Open”

BEST INTERNATIONAL ACT:
Aya Nakamura (France)
Burna Boy (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Emicida (Brazil)
Headie One (Uk)
Wizkid (Nigeria)
Young T & Bugsey (Uk)
Youssoupha (France)