Kwa mujibu wa taarifa kutoka tovuti ya Complex Meneja wa marehemu Dmx Steverifkind amethibitisha kuagwa kwa mwili wa nyota huyo katika viwanja wa Barclays Center mjini New York nchini Marekani 🇺🇸

Zoezi hilo litafanyika April 24 mwaka huu 2021, wakati siku inayofuata ambayo ni April 25, familia ya marehemu itasherehekea maisha ya Star huyo kwenye mazishi yatakayofanyika kanisani mjini New York

Dmx alifariki April 9 katika hospitali ya white-plains kwa mshtuko wa moyo mara baada ya kuzidisha dawa za kulevya