Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick alipokutana naye Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu Aprili 19, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu Aprili 19, 2021