Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 3, 2021 amepokelewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar es salaam , Wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Julius Nyerere akitokea Dodoma