Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akiwa na Mama Marry Majaliwa, Mke wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakiwa na Mapadri wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro – Oysterbay mkoani Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Magufuli ikiwa ni siku ya 40 toka afariki dunia Machi 17 mwaka huu.